Social Icons

Pages

Saturday, 8 August 2015

SUPERCOPPA ITALIANA: JUVE YATWAA KOMBE!


Bao mbili za Kipindi cha Pili zimewapa Mabingwa wa Italy Juventus Supercoppa Italiana walipoichapa SS Lazio 2-0 huko Shanghai Nchini China.With a fourth successive Serie A title comfortably in the bag, Juve ...
Mechi hii ni rasmi ya kuashiria kwa Msimu mpya wa Italy na kwa Miaka ya hivi karibuni Supercoppa Italiana imekuwa ikichezwa nje ya Italy.
Juve walipata Bao lao la kwanza katika Dakika ya 69 Mfungaji akiwa Mchezaji wao mpya Mario Mandzukic kwa kichwa alipounganisha krosi ya Sturaro.
Bao la Pili la Juve pia llilifungwa na Mchezaji mpya Paulo Dybala katika Dakika ya 73 baada ya kazi njema ya Mandzukic na Pogba.
Ligi ya Italy Serie A itaanza rasmi hapo Agosti 23.
 
FULU VIWANJA