Social Icons

Pages

Tuesday, 21 April 2015

Brendan Rodgers angalau maumivu ya kichwa yapungua


27BE4D2900000578-0-image-a-33_1429563910380
Henderson (kushoto) anatarajiwa kusaini mkataba mpya
JORDAN Henderson ameiondolea Liverpool maumivu ya kichwa baada ya  kutupwa nje ya FA kwa kukubali kusaini mkataba mpya wa muda mrefu Anfield.
Nahodha huyo msaidizi wa Liverpool amebakiwa na miezi 14 katika mkataba wake na washauri wake wamekuwa katika mazungumzo na Liverpool tangu mwanzo mwa msimu huu.
Henderson's new deal is worth around £100,000-a-week and will run until the summer of 2020
Sasa wamefikia makubaliana na Henderson anatarajia kumwaga wino katika mkataba ulioboreshwa zaidi na atakuwa analipwa mshahara wa paundi lakini moja. 
Mkataba wake utamalizika mwaka 2020.
 
FULU VIWANJA