Kuna uzushi unazidi kuenea kuwa nahodha wa Manchester City, Vicent Kompany amefumaniwa akifanya mapenzi na mke wa Pablo Zabaleta.
Uzushi huo umeeneaje kwenye mitandao ya kijamii jana usiku wa jana na leo asubuhi?
Kama kawaida uzushi huo umetokea kwenye mitandao ya kijamii na umelenga kumuondolea heshima Kompany na kumgombanisha na mchezaji mwenzake.
Ujumbe huu ulipatikana Google kwa kuingiza maneno “Zabaleta Kompany”, lakini sasa ujumbe huo umekatwa.

Ujumbe ulisomeka
HUGE amount of rumors right now: supposedly MCFC captain Vincent Kompany has taken an injunction out to stop something being reported. Kompany has apparently been having an affair with Zabaleta’s wife/Nasri’s girlfriend.
Uzushi huo kwamba Kompany amelala na mke wa Zabaleta umepostiwa Twita na Trolls wakidai beki huyo raia wa Ubelgiji aliwahi kumsaliti Samir Nasri na James Milner na kutembea na wapenzi wao.
Lakini baadaye watumiaji wa mtandao walifuta ujumbe huo Twita baada ya kushindwa kuonesha ushahidi kuhusu taarifa hizo.
Hata hivyo, bahati mbaya tayari watu wameshasoma taarifa hiyo ya Skendo ya mapenzi ya nahodha wa Man City na imerudia mara nyingi sana kwenye mtandao wa Twita.
Kompany ana mke wake aliyezaliwa mjini Manchester, Carla Higgs na wana watoto wawili, wakati Muargentina Pablo Zabaleta amemuoa mwanamitindo wa Hispania na mwandishi wa habari Christel Castano.
Hapa chini ni baadhi ya Twita zinazoeneza stori hiyo ya mapenzi kuwahusu wachezaji wa Manchester City pamoja na picha zao wapenzi hao.




20Apr2015 chanzo shafidauda