Social Icons

Pages

Sunday, 15 February 2015

JE WAHIFAHAMU PAMBA SPORTY CLUB FIRST ELEVEN..HII HAPA

PAMBA FC MIAKA YA
80 (KUMBUKUMBU)

Wadau hiki ni kikoso cha Pamba ya
Mwanza in late 80's to early 90's:

1. Paul Rwechungura,
2. David Mwakalebela,
3. Abdallah Boli,
4. George Masatu,
5. Rashid Abdallah,
6. Hussein Marsha,
7. Beya Simba,
8. Khalfan Ngassa,
9. Fumo Felician,
10. Hamza Mponda,
11. George Gole

Reserve: Nico Bambaga, Juma
Amir, Maonwa Mkami, James
Washokera, Andrew Godwin

 
FULU VIWANJA