Social Icons

Pages

Tuesday, 17 February 2015

HII NDIO MAJIMAJI SPORT KLABU ENZI HIZO ..MWAKA WA UBINGWA KWAO

1998- Majimaji bingwa
Tanzania
Majimaji ya Songea mkoa wa
Ruvuma ilifanikiwa kuchukua
ubingwa wa Ligi ya Muungano
mwaka 1998.

1999- Prisons yachukua ubingwa
mara ya kwanza
Timu ya Tanzania Prisons ni moja
kati ya timu kongwe hapa nchini
ilianza kuingia katika ligi ya Dar es
Salaam tokea miaka ya sitini.

Prisons inamilikiwa na Jeshi la
Magereza pamoja na ukongwe wake
imefanikiwa mara moja kuchukua
ubingwa wa Tanzania ikiwa na
mastani yake Mbeya badala ya Dar
es Salaam.

 
FULU VIWANJA