Social Icons

Pages

Sunday, 15 February 2015

BOATENG ANATAKA AWEKE HISTORIA YAKUWA NAHODHA WA KWANZA MWEUDI NDANI UA TIMU YA UJERUMANI

Jerome Boateng sasa
anataka kuwa
nahodha wa kwanza
mweusi wa timu ya
taifa ya Ujerumani.

Beki huyo wa kati wa
Bayern Munich
ameonyesha ujasiri
huo na kusisitiza
angependa kuipata
nafasi hiyo.

Boateng ambaye
alionekana si lolote
Man United, tayari
amepata mafanikio
makubwa kwa
kuchukua makombe
mawili makubwa zaidi
katika soka.

Kwanza ubingwa wa
Ulaya akiwa na
Bayern Munich na
ubingwa wa dunia
akiwa na Ujerumani.

Mara kadhaa alipitia
katika manyanyaso
ya ubaguzi wa rangi
tokea akiwa na miaka
11.

 
FULU VIWANJA