Social Icons

Pages

Monday, 19 January 2015

WALIJUA HILI,AFRIKA KUSINI HAIJAFUNGWA NA ALGERIA TANGU 1996.

Kombe la mataifa ya Afrika
Afrika kusini haijafungwa na Algeria
katika michuano miwili kati ya timu
hizo baada ya kuishinda Algeria 2-1
mwaka 1996 na baadaye kupata sare
ya 1-1 mwaka 2000.

Hatahivyo Bafana Bafana imeshinda
mechi moja kati ya mechi 12 katika
mashindano haya ,ijapokuwa
haijashindwa katika mechi tano
kufikia sasa tangu ianzishe kampeni
zake za kufuzu kwa dimba la mataifa
ya Afrika mwaka uliopita.

Nayo timu ya Algeria kwa jina
maarufu 'The desert warriors imepata
sare moja na kupoteza mechi 4 kati
ya tano katika mashindano ya mataifa
ya Afrika tangu ushindi wao maarufu
wa mabao 3-2 dhidi ya Ivory Coast
mwaka 2010.

Mechi ya kombe la mataifa ya
Afrika
Algeria imeshinda kufunga katika
mechi hizo nne kati ya tano na
hivyobasi kuwa na idadi ya mabao
mawili kwa jumla.

Katika mechi 3 zilizochezwa kati ya
mataifa haya mawili ,algeria
haijawahi kushinda mechi hata moja.

 
FULU VIWANJA