BAO 2 za Carlos Tevez na moja
moja za Paul Pogba na Roberto
Pereyra zimewapa ushindi wa
Bao 4 - 0 Mabingwa na Vinara
wa Serie A
, Juventus,
walipocheza kwao Juventus
Stadium Mjini Torino Nchi Italy
dhidi ya Hellas Verona .
Ushindi huu kwenye Mechi
hiyo ya Serie A umeifanya
Juve iwe Pointi 5 mbele ya
Timu ya Pili AS Roma ambayo
Jumamosi ilicheza Ugenini na
Palermo na kutoka Sare 1 -1 .