Social Icons

Pages

Sunday, 24 August 2014

DIEGO COSTA, KAZI NA DAWA .....


MUDA MCHACHE TU BAADA YA KUISAIDIA CHELSEA KUITWANGA LEICESTER CITY KWA MABAO 2-0, YEYE AKIWA AMEFUNGA MOJA NA KUFIKISHA MAWILI KATIKA MECHI MBILI, DIEGO COSTA ALIONEKANA AKICHOTA MKWANJA KIDOGO KWENYE ATM.
HAIKULIKANA MARA MOJA KAMA NI KWENDA KULA BATA AU MATUMIZI MENGINE INGAWA UNAWEZA KUSEMA NI VIZURI KAZI NA DAWA.
 
FULU VIWANJA