Social Icons

Pages

Tuesday, 12 August 2014

DIDIER DROGBA KUKOSA MECHI YA MWANZO YA LIGI KUU ENGLAND


Mshambuliaji Didier Drogba aliyerejea Chelsea, atakosa mechi ya ufunguzi ya kikosi hicho.
Drogba aliumia enka katika mechi ya kirafiki ambayo iliisha kwa Chelsea kuilamba Ferencvaros kwa mabao 2-1.
Vipimo vya mwisho jana vimeonyesha Drogba aliumia sana na anahitaji matibabu na mapumziko.
Hata hivyo,Kocha Mourinho hatakuwa na hofu kutokana na kuwa na washambuliaji lukuki kama Fernando Torres na diego Costa aliyemsajili kwa pauni milioni 32 kutoka Atletico Madrid
 
FULU VIWANJA