MUIGIZA MAARUFU WA HOLLYWOOD, ROBIN WILLIAM AMEJIUA
NYOTA WA FILAMU
ZA HOLLYWOOD, ROBIN WILLIA AMEKUTWA AMEKUFA NYUMBANI KWAKE CALIFORNIA,
MAREKANI. TAARIFA ZIMEELEZA INAWEZEKANA NYOTA HUYO WA FILAMU NA
VICHEKESHO ALIJIUA BAADA YA KUWA KATIKA MATIBABU YA MUDA MREFU KUEPUKA
KUTUMIA VILEVI KUPINDUKIA.