Social Icons

Pages

Sunday, 2 February 2014

TAZAMA PICHA ZAIDI YA 25 WAKATI WA KUMTAFUTA MISS&MR AJTC SIKU YA IJUMAA, UBUNIFU WA AJABU WATANDA TAZAMA UHONDO HAPA Posted by inngelangelanews.blogspot.com Posted on 2:16 PM washiriki wote wakiwa kwenye picha yapamoja wakipa maelekezo toka kwa majaji miss AJTC 2012 namba mbili kwenye pozi mambo yalianza hivi huyu ndiye mshilki pekee kwa upande wa wanaume aliye ibuka mshindi kwa kukosa mpinzani saidi lazima akikabidhi taji kwa mshindi wa mr ajtc Glory swai miss ajtc 2012 akikabidhi taji kwa mshindi wa miss ajtc 2014 IREN LYMO MISS AJTC NA MR AJTC WAKIWA KATIKA PICHA YAPAMOJA miss ajtc akikabidiwa zawadi na mgeni rasmi MR AJTC Joseph, akikabidhiwa zawadi wanafunzi wa chuo cha ajtc pamoja na wageni wakifuatilia mashindano hayo aliye vaa shati jeupe ni Bogger bw Deogratius kessy mmliki wa blog ya full viwanja pamoja na msanii chipukizi Richard bundala nao hawakukosa kuudhulia kikundi cha ajtc stars wakitoa burudani mgeni rasmi bwn Andrea Ngobole akitoa neno wanafunzi wa ajtc wakifutilia kwa makiniwww.ngelangelanews.blogspot.com


washiriki wote wakiwa kwenye picha yapamoja wakipa maelekezo toka kwa majaji
miss AJTC 2012 namba mbili kwenye pozi


mambo yalianza hivi










huyu ndiye mshilki pekee kwa upande wa wanaume aliye ibuka mshindi kwa kukosa mpinzani





saidi lazima akikabidhi taji kwa mshindi wa mr ajtc

Glory swai miss ajtc 2012 akikabidhi taji kwa mshindi wa miss ajtc 2014 IREN LYMO

MISS AJTC NA MR AJTC WAKIWA KATIKA PICHA YAPAMOJA

miss ajtc akikabidiwa zawadi na mgeni rasmi

MR AJTC Joseph, akikabidhiwa zawadi

wanafunzi wa chuo cha ajtc pamoja na wageni wakifuatilia mashindano hayo aliye vaa shati jeupe ni Bogger bw Deogratius kessy

mmliki wa blog ya full viwanja pamoja na msanii chipukizi Richard bundala nao hawakukosa kuudhulia

kikundi cha ajtc stars wakitoa burudani

mgeni rasmi bwn Andrea Ngobole akitoa neno

wanafunzi wa ajtc wakifutilia kwa makiniwww.ngelangelanews.blogspot.com
 
FULU VIWANJA