Social Icons

Pages

Sunday, 2 February 2014

ARSENALYAREJEA KILELENI LIGI KUU ENGLAND, MAMBO YA CHAMBERLAIN WE ACHA TUUU

MABAO ya mawili ya Alex Oxlade-Chamberlain kipindi cha pili yameipa Arsenal ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Crystal Palace katika Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, hivyo kurejea kileleni mwa ligi hiyo.
Kiungo huyo wa kimataifa wa England mwenye umri wa miaka 20 amekuwa fiti tena baada ya kuwa nje kwa miezi mitano sababu ya majeruhi goti aliyoyapata siku ya kwanza ya msimu.
Alifunga mabao hay katika dakika za 47 na 73  na sasa Arsenal inarejea kileleni kwa kutimiza pointi 55 baada ya kucheza mechi 24, ikiizidi pointi mbili Manchester City katika nafasi ya pili, ambayo kesho itacheza mechi ya 24 pia msimu huu dhidi ya Chelsea.
Mikel Arteta kushoto akimpongeza Chamberlain baada ya kufunga bao la pili leo 
Dink! Alex Oxlade-Chamberlain scored just after half-time to break the Crystal Palace resistance
Amerudi vizuri! Alex Oxlade-Chamberlain alifunga mabao mawili kipindi cha pili leo
 
FULU VIWANJA