Social Icons

Pages

Saturday, 18 January 2014

JUVE YASONGA, ROMA YAIFUKUZA!


MABINGWA na Vinara wa Serie A, Juventus, Jana waliicharaza Sampdoria Bao 4-2 na kuendeleaTEVEZ_IN_JUVEkubaki kileleni wakiwa Pointi 8 mbele ya AS Roma ambayo Jana pia waliitwanga Livorno Bao 3-0.
Katika Mechi ya Juve iliyochezwa Juventus Stadium, Bao za Mabingwa hao zilifungwa na Arturo Vidal, Bao 2 moja Penati, Fernando Llorente na Paul Pogba huku Bao za Sampdoria zikipachikwa na Andrea Barzagli, aliejifunga mwenyewe, na Manolo Gabbiadini.
Kwenye Mechi ya AS Roma na Livorno Bao za Roma zilifungwa na Mattia Destro, Kevin Strootman na Adem Lajajic.

MSIMAMO-Timu za Juu:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Juventus FC
20
18
1
1
50
14
36
55
2
AS Roma
20
14
5
1
42
10
32
47
3
SSC Napoli
19
13
3
3
41
20
21
42
4
Fiorentina
19
11
4
4
34
20
14
37
5
Inter mILAN
19
8
8
3
38
23
15
32
6
Hellas Verona
19
10
2
7
34
30
4
32
7
Torino FC
19
6
8
5
31
27
4
26

 
FULU VIWANJA