Social Icons

Pages

Monday, 16 December 2013

NANI KUMRITHI VILLAS -BOAS.JE NI CAPELLO AU HIDDINK.

Capello , Hiddink na Hoddle nani kumrithi Villas-Boas Tottenham

 In and out: Villas-Boas took over the Spurs job after Harry Redknapp was sacked in 2012

  • Capello, Hiddink na Hoddle wanachunguliwa kuchukua nafasi ya Mreno huyo
  • Tim Sherwood, kwasasa ni mkurugenzi wa ufundi wa muda wa Spurs, anachukua nafasi kwa muda kuelekea mchezo wa jumatano dhidi wa michauno ya Capital One Cup dhidi ya West Ham
  • Taarifa ya Spurs imesomeka makubaliano yamefikiwa baina ya Andre Villas-Boas na klabu kukatisha kazi.
KLabu ya Totternham Hotspurs imemfukuza kazi meneja wake Andre Villas-Boas kufuatia kichapo takatifu cha mabao 5-0 kutoka Liverpool mchezo uliochezwa White Hart Lane.
Bosi huyo Mreno alikuwa katika presha kwa wiki kadhaa tangu apokee kichapo cha awali cha mabao 6-0 kutoka kwa Manchester City, licha ya kujifariji kwa ushindi katika michezo dhidi ya Fulham na Sunderland.
Lakini kichapo cha nyumbani cha Jumapili ya juzi kilikuwa ni cha uongozi kumtolea uvivu ambapo wameamua kumfuta kazi akiwa ndani ya mkataba wa miaka miwili.
Out: Tottenham Hostpur manager Andre Villas-Boas had seen his side win two on the bounce before Sunday
In and out: Villas-Boas took over the Spurs job after Harry Redknapp was sacked in 2012
Villas-Boas alichukua kazi baada ya mtangulizi wake Harry Redknapp kutimuliwa mwaka 2012
 Contender? Capello was at White Hart Lane on Sunday performing TV duties
 Taarifa zinasema kuwa Capello alikuwepo White Hart Lane jana Jumapili akifanya kazi ya TV.

USAJILI WA SPURS WAKATI WA KIANGAZI

Erik Lamela (Roma) - £30m Vlad Chiriches (Steaua) - £8.5m Etienne Capoue (Toulouse) - £8.6m Nacer Chadli (Twente) - £6m Roberto Soldado (Valencia) - £26m Christian Eriksen (Ajax) - £11.5m Paulinho (Corinthians) - £17m Total: £107.6million
Levy tayari amesha orodhesha warithi wake na huenda wakafanya kazi kwa muda.
 Mwenyekiti wa Spurs anaonekana kupendelea zaidi makocha wazoefu na ambao wamekuwa na 'World Cup pedigree'. 

Fabio Capello ambaye hapo jana alikuwepo White Hart Lane akitangaza na kutoa uchambuzi anatajwa huenda akawa mrithi pamoja na kocha aliye nje ya kazi kwa sasa Gus Hiddink na Glenn Hoddle ingawa si rahisi kwa Spurs kumrejesha bosi huyo wa zamani katika kazi ya umeneja.

Been there, done that: Former Spurs and England boss Glenn Hoddle could be lined up as a temporary replacement
Bosi wa zamani wa Spurs na England Glenn Hoddle

 
Mameneja waliopita Spurs vipindi tofauti

The best: Villas-Boas has the highest win percentage of any of the last 13 Spurs managers
 The best: Villas-Boas has the highest win percentage of any of the last 13 Spurs managers
Stick: Michael Laudrup's agent insists he is happy at Swansea, and will remain there until the end of the season

NEXT TOTTENHAM MANAGER ODDS

Fabio Capello 6/4
Michael Laudrup 5/1
Glenn Hoddle 10/1
Tim Sherwood 12/1
Mauricio Pochettino 12/1
Guus Hiddink 16/1
Frank De Boer 16/1
Jurgen Klinsmann 16/1
Rudi Garcia 16/1
Roberto Mancini 25/1
 
FULU VIWANJA