skip to main
|
skip to sidebar
Social Icons
Pages
Home
Popular Posts
RONALDO AENDELEA KUONGOZA KATIKA MSIMAMO WA UFUNGAJI WA LA LIGA,
Cristiano Ronaldo amepiga bao mbili na kuiwezesha Real Madrid kuibwaga Rayo Valcano kwa mabao 3-2 pamoja na kuwa ugenini. Pamoja na ushi...
HII NDIO ORODHA YA WFUNGAJI WA MAGOLI MPAKA SASA KWENYE ENGLAND
Premier League 2013-2014 - ORODHA YA WAFUNGAJI Pos.NAFASI Player.MCHEZAJI Goals KLABU.Team 1 Sergio Agüer...
UEFA YATANGAZA MECHI ZA KUMI MA SITA BORA,ARSENAL MBELE YA MABINGWA WATETEZI
UEFA HATUA YA 16 BORA RATIBA IPO HIVI.. Manchester City Vs Barcelona Olympiakos Vs Manches...
HUU NDIO MSIMAMO WA UFUNGAJI KATIKA LIGI KUU ENGLAND
English Premier League Stats: Top Goal Scorers - 2013-14 Player Team Goals 1 ...
KOCHA MPYA WA AZAMFC JOSEPH MARIUS OMONG HANA WASIWASI NA FERREVIARO DE BEIRA
Kocha mpya wa Azam fc Joseph Marius Omog hana wasiwasi na wapinzani wao Ferreviario De Beira Benchi la ufundi la Azam kushoto ni ...
MALKIA WA NYUKI AFUNGUKA KUHUSU SIMBA
Mlezi wa Simba, Rahma Al Kharusi amefunguka na kusema ndani ya klabu hiyo kumekuwa na matatizo mengi kwa kipindi kirefu. Rahma maa...
WAJUA HISTORIA YA AFCON .MPAKA JANA BINGWA APATIKANE HII HAPA...TWENDE SAWA
KOMBE la Mataifa ya Afrika (CAN), ndiyo michuano mikubwa ya soka katika bara la Afrika inayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). ...
VIWANJA SABA HAPA INCHINI VYA FUNGIWA NA BODI YA LIGI KUU TANZANIA
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPL Board) imefungia viwanja saba vilivyokuwa vikitumiwa na timu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) na Ligi Daraja ...
UHAMIAJI YAZUIA KIBALI CHA OKWI. KWIZERA NA KIONGERA WARUHUSIWA
IDARA ya Uhamiaji Tanzania imetoa vibali vya kufanyia kazi kwa wachezaji wawili wa Simba SC, Mrundi Pierre Kwizera na Mkenya Paul Kionge...
BARCELONA MWENDO MDUNDO WAENDELEZA VIPIGO KWENYE KOMBE LA MFALME
WAKATI Real Madrid wakivuliwa ubin...
FULU VIWANJA.COM. Powered by
Blogger
.
soka
wachezaji
Monday, 16 December 2013
KAMPUNI YA AZAM TVLEO IMEANZA KUTOA HUDUMA ZAKE RASMI.
KAMPUNI ya AzamTV leo imeanza kutoa huduma zake rasmi katika makao makuu yaliyopo barabara ya Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Huduma za matangazo ya AzamTV zilianza kupatikana hewani Kuanzia Ijumaa Desemba 6, 2013 kwa kuwawezesha wateja waliounganishwa kwenya kisimbuzi kungalia bure hadi hii leo ambapo huduma kwa malipo inaanza rasmi kwa ada ya shilingi 12,500 kwa mwezi.
Kwa kuanzia huduma ya AzamTV itahusisha chaneli 50 zinazojumuisha chaneli maarufu za kimataifa, chaneli maarufu za ndani na chaneli tatu maalumu za Azam ambazo ni:
•
Azam One – burudani kwa familia kutoka Afrika, sehemu kubwa ya matangazo itakuwa kwa lugha ya Kiswahili.
•
Azam Two – vipindi maalum kutoka sehemu mbalimbali za dunia
•
SinemaZetu – Chaneli maalumu kwa tamthilia za kitanzania kwa saa 24.
Kwa pamoja, chaneli tajwa zitawapa wateja wigo mpana wa kufaidi matangazo bora ya michezo, tamthilia, watoto na maisha.
Ofisi ilifunguliwa rasmi na Bw. Yusuf Bakhresa: Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Media Ltd.
“Ofisi hii ya makao makuu ambayo kwa hakika ni ya kuvutia ni kielelezo cha nia thabiti ya Azam Media kufanya kazi kwa umakini katika shughuli ya utangazaji hapa Tanzania. Dira yetu ni kutoa burudani ya kiwango cha juu kwa familia kwa bei nafuu kote nchini, na baadaye kote barani Afrika. Hili ni jambo ambalo kila mmoja hapa nchini anapaswa kujivunia.” Alisema Bakhresa
Rhys Torrington: Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media Ltd alisema: “Naona faraja kubwa kwamba leo hii AzamTV ipo sokoni kwa ajili ya kila mtanzania. Tutahabarisha, kuelimisha na zaidi ya yote tutaburudusha watu kote nchini. Huduma yetu inapatikana kwa watu wote – situ katika ofisi hizi lakini pia kupitia mtandao wetu unaohusisha zaidi ya mawakala 50 katika kila mkoa. AzamTV ni ya kudumu”
Azam Media pia inawekeza katika utayarishaji wa vipindi vipya kupitia kampuni yake tanzu, Uhai Productions, kwa kushirikiana na watayarishaji wa vipindi wa hapa
Tanzania.
Newer Post
Older Post
Home
About Me
Unknown
View my complete profile
Labels
BURUDANI
HABARI
historia
magazeti
MAKALA
MATOKEO
MATOKEO NA RATIBA
MICHEZO
NDONDI
RATIBA
TENESI
TETESI ZA SOKA
VIDEO
VIDEO YA SOKA
MCHEZAJI BORA WA FIFA
HUYU NDIO RONALDO
MCHEZAJI WA WIKI ENGLAND
MCHEZAJI BORA WA WIKI
UEFA CHAMPION RATIBA
MECHI ZA YA I6 BORA YA UEFA