Social Icons

Pages

Monday, 16 December 2013

CAF CHAMPIONZ LIGI: YANGA KUANZA NA KOMOROZINE, KMKM NA DEDEBIT!


YANGA_MJENGOLEO imefanyika Droo ya CAF CHAMPIONZ LIGI 2014 na Wawakilishi wa Tanzania, Yanga na KMKM, wataanzia Raundi ya Awali.
Yanga wataanza na Klabu ya Morocco, Komorozine na KMKM kucheza na Klabu ya Ethiopia, Dedebit.
Mechi hizi za Raundi ya Awali zitachezwa Februari 7-9 na Marudiano Februari 14-16.
Lakini kimbembe kikubwa kwa Klabu za Tanzania kitakuwa kwenye Raundi ya Kwanza ikiwa watafuzu hiyo Raundi ya Awali.
Katika Raundi hiyo inayofuata, ikiwa watafuzu, Yanga watakutana na Al Ahly ya Misri ambao ndio Mabingwa Watetezi wa Afrika na KMKM kucheza na CS Sfaxien ya Tunisia.
Mechi hizi za Raundi ya Kwanza zinatakiwa kuchezwa Februari 28-Machi 2 na Marudiano Machi 7-9.
CAF CHAMPIONZ LIGI
Raundi ya Awali
Mechi kuchezwa Februari 7-9 na Marudiano Februari 14-16.
TIMU
NA
TIMU
Young Africans
1
Komorozine [Comoro]
Berekum Chelsea
2
Atlabara
Al-Ahly Benghazi
3
Foullah Edifice
Gor Mahia
4
US Bitam
Enyimba
5
Anges de Notsè
FAR Rabat
6
AS Real Bamako
Les Astres
7
Akonangui
Asante Kotoko
8
Barrack Young Controllers
Séwé Sport
9
Os Balantas
Dedebit  [Ethiopia]
10
KMKM
Nouadhibou
11
Horoya
Raja Casablanca
12
Diamond Stars
Diables Noirs
13
Flambeau de l’Est
ES Sétif
14
Steve Biko
Diambars
15
ASFA Yennenga
USM El Harrach
16
Stade Malien
AC Léopards
17
Rayon Sports
Primeiro de Agosto
18
Lioli
Kaizer Chiefs
19
Black Africa
Liga Muçulmana
20
CNaPS Sport
Dynamos
21
Mochudi Centre Chiefs
AS Vita Club
22
Kano Pillars
Zamalek
24
Côte d'Or
Mbabane Swallows
25
Nkana
Al-Merrikh
26
KCCC
 
FULU VIWANJA