Social Icons

Pages

Monday, 25 November 2013

JUVE WAONGOZA LIGI KWA SASA


JUVENTUS YA SHINDA,YAONGOZA SERIA A
>>LLORENTE, TEVEZ WATIKISA KAMBA!!
BAO 2 za Fernando Llorente na Carlos Alberto Tevez leo zimewapa Mabingwa wa Italy JuventusTEVEZ_IN_JUVEushindi wa Bao 2-0 katika Mechi ya Ligi Serie walipoichapa AS Livorno Calcio kwenye Stadio Armando Picchi na kukaa kileleni mwa Ligi ,.hiyo.

MSIMAMO-Timu za Juu:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
2
Juventus
13
11
1
1
28
10
18
34
1
AS Roma
12
10
2
0
26
3
23
32
3
SSC Napoli
13
9
1
3
24
12
12
28
4
Inter Milan
12
7
4
1
29
12
17
25
5
Fiorentina
13
7
3
3
24
15
9
24
6
Hellas Verona
13
7
1
5
22
20
2
22

Juve sasa wanaongoza kwa kuwa na Pointi 34 kwa Mechi 13 na wanafuatia AS Roma wenye Pointi 32 kwa Mechi 12 na ambao watacheza Mechi yao ya mkononi wakiwa Nyumbani Jumatatu Usiku dhidi ya Cagliari.
 
FULU VIWANJA