Social Icons

Pages

Saturday, 26 March 2016

TERRY SASA NI BATA TU, APAA ZAKE JUU YA DUBAI KWA PARACHUTI


Nahodha wa Chelsea, John Terry ameamua kula bata tu sasa, mwishoni mwa wiki ametua Dubai ambako amekuwa akiendelea "kula maisha".

Nahodha huyo ametupia picha mtandaoni akiwa juu kabisa ya jiji la Dubai kuonyesha anavyoendelea na raha zake. Lakini anastahili, kwani kwa upande wa klabu ukiacha Kombe la Dunia, amechukua kila kitu.

MAKOMBE:
Champions League x 1 (2012)
Europa League x 1 (2013) 
Premier League x 4 (2005, 2006, 2010, 2015)
FA Cup x 5 (2000, 2007, 2010, 2009, 2012)
League Cup x 3 (2005, 2007, 2015)

Community Shield x 2 (2005, 2009) 
 
FULU VIWANJA