Social Icons

Pages

Tuesday, 22 March 2016

Kuhusu Arsene Wenger kusepa Arsenal, bodi ya club imefikia maamuzi haya.

Karibia kila shabiki wa Arsenal hivi sasa anataka kocha wao Wenger aache kazi na kumpa nafasi kocha mwingine ili angalau arudishe matumaini ya kupata vikombe kwenye club hiyo.
Ripoti kutoka kwenye board ya club Arsenal inasema kwamba kocha Wenger atapewa pesa nyingi kwa ajili ya usajili kipindi cha usajili kikifika. Ripoti hiyo inasema kwamba Wenger ametakiwa kutumia pesa nyingi sana kwa ajili usajili na kuimarisha kikosi chake. Kutokana na maamuzi haya hakuna dalili za kocha Wenger kisepa.
fetty
Kuna ripoti nyingine kuhusu Ozil ni kwamba anataka kuhama club hiyo kama Wenger akiendelea kuwa kocha wa Arsenal. Sasa je, usajili huo mkubwa ambao Arsenal utaufanya kipindi cha usajili utasaidia kuwabakisha mastar wa club.
Kitu kingine ambacho kianatia mashaka ni kwamba kutumia pesa nyingi sio utaratibu wa Arsenal. Hivyo basi hatutegemei kuona Arsenal kama kweli watatumia pesa nyingi kwenye usajili.
 
FULU VIWANJA