Social Icons

Pages

Tuesday, 22 March 2016

AFCON 2017: MAKUNDI KUENDELEA, JUMATANO TANZANIA UGENINI CHAD, WENZAO NIGERIA, EGYPT KUKIPIGA IJUMAA KADUNA!

MECHI za Makundi za kuwania kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2017, zitakazochezwa huko Gabon Januari 2017, zinaingia Raundi ya 3 kuanzia Jumatano na kuunganishwa na zile za Raundi ya 4 ya Siku 7.
Tanzania, ambao wako Kundi G, Jumatano wapo huko N’Djamena kucheza na Chad na Timu hizi zitarudiana Jijini Dar es Salaam hapo Jumatatu Machi 28.

Wenzao wa Kundi G, Nigeria na Egypt, zitapambana huko Kaduna, Nigeria Siku ya Ijumaa na kurudiana huko Alexandria, Egypt Jumanne Machi 29.

Kwenye Kundi hili, Egypt wanaongoza wakiwa na Pointi 6 baada ya kushinda Mechi zao zote wakifuata Nigeria wenye Pointi 4 na Tanzania Pointi 1 baada ya kutoka Sare 0-0 na Nigeria na kufungwa 3-0 na Egypt.

Chad wako mkiani wakiwa hawana Pointi.++++++++++++++++++++++++++++++++AFCON 2017MAKUNDI:KUNDI A: Tunisia, Togo, Liberia, DjiboutiKUNDI B: Madagascar, DRC, Angola, CARKUNDI C: Mali, Equatorial Guinea, Benin, South SudanKUNDI D: Burkina Faso, Uganda, Botswana, ComorosKUNDI E: Zambia, Congo, Kenya, Guinea BissauKUNDI F: Cape Verde, Morocco, Libya, Sao TomeKUNDI G: Nigeria, Egypt, Tanzania, ChadKUNDI H: Ghana, Mozambique, Rwanda, MauritiusKUNDI I: Cote d’Ivoire, Sudan, Sierra Leone, GabonKUNDI J: Algeria, Ethiopia, Lesotho, SeychellesKUNDI K: Senegal, Niger, Nambia, BurundiKUNDI L: Guinea, Malawi, Zimbabwe, SwazilandKUNDI M: Cameroon, South Africa, Gambia, MauritaniaMFUMO:-Makundi yapo 13 ambapo 12 yana Timu 4 na moja lina Timu 3 lakini Wenyeji Gabon, ambao wanafuzu moja kwa koja kucheza Fainali, wamechomekwa Kundi hilo [KUNDI I] ambapo Mechi zao ni za Kirafiki tu.

-Mshindi wa kila Kundi [Washindi 13] na Timu 2 zitakazomaliza Nafasi za Pili Bora zitatinga Fainali kuungana na Wenyeji Gabon na kufanya Jumla ya Timu 16.++++++++++++++++++++++++++++++++AFCON 2017RATIBAMechi za Makundi**Saa za BongoJumatano Machi 23Sao Tome v Libya [Estadio Nacional 12 de Julho] 16:30       Chad v Tanzania [Idriss Mahamat Ouya] 16:30South Sudan v Benin [16:30]      Guinea-Bissau v Kenya [Estádio Nacional 24 de Setembro] 19:00    Zambia v Congo [Levy Mwanawasa Stadium] 19:00   Alhamisi Machi 24Madagascar v Central African Republic [Stade Municipal de Mahamasina] 16:30  Comoros v Botswana [Said Mohamed Cheikh] 17:00  Djibouti v Liberia [Djibouty] 17:00        Ghana v Mozambique 18:30       Ijumaa Machi 25Swaziland v Zimbabwe [Lobamba] 16:00Gabon v Sierra Leone [Franceville ] 16:30        Ivory Coast v Sudan [Stade Félix Houphouët-Boigny[] 17:30 Mauritania v  Gambia [Nouakchott] 17:30       Nigeria v Egypt [Ahmadu Bello Stadium] 18:00Guinea v Malawi [28 Septembre] 18:00 Tunisia v Togo [Stade Mustapha Ben Jannet] 19:00   Mali v Equatorial Guinea [Stade du 26 Mars] 19:00    Algeria v Ethiopia [Stade Mustapha Tchaker] 21:30    Jumamosi Machi 26Mauritius v Rwanda [Belle Vue] 16:00   Burundi v Namibia [Prince Louis Rwagasore] 16:00    Congo DR v Angola [Stade des Martyrs de la Pentecote] 16:30      Cape Verde v Morocco [Praïa , Praïa] 17:00    Cameroon v South Africa [Stade Municipal de Limbe] 17:30 Seychelles v  Lesotho [Stade Linite] 17:30       Senegal v Niger [Stade Léopold Sédar Senghor] 20:00Burkina Faso v Uganda [Ouagadougou]  21:00Jumapili Machi 27Mozambique  v Ghana [Estádio Nacional do Zimpeto] 17:00  Kenya v Guinea-Bissau [Nyayo National Stadium] 17:00       Congo v Zambia [Stade Alphonse Massamba-Débat] 18:30   Jumatatu Machi 28Liberia v Djibouti                       Togo v Tunisia                            Central African Republic v Madagascar                      Benin  v South Sudan                           Equatorial Guinea v Mali                      Botswana v Comoros                           Uganda v Burkina Faso                        Libya v Sao Tome                      Morocco v Cape Verde                         Tanzania v Chad                        Rwanda v Mauritius                    Sierra Leone  v Gabon                          Sudan v Ivory Coast                   Lesotho v Seychelles                            Ethiopia v Algeria                      Namibia v Burundi                     Niger  v Senegal                        Malawi v Guinea                        Gambia v Mauritania                            Zimbabwe v Swaziland [National Sports Stadium] 16:00       Jumanne Machi 29Angola v Congo DR [Estádio 11 de Novembro] 20:00 Egypt v Nigeria [Borg El Arab Stadium] 21:00 South Africa  v Cameroon [Moses Mabhida Stadium] 21:00
x
 
FULU VIWANJA