
Benteke alifunga Bao zake Dakika za 10, 33 na 83 na QPR kupiga Bao zao Dakika za 7, 55 na 78 kupitia Matt Phillips, Clint Hill na Charlie Austin.
Sare hii imewapandisha Villa hadi Nafasi ya 17 kati ya Timu 20.
VIKOSI:
Aston Villa: Guzan, Bacuna, Vlaar, Clark, Richardson, Cleverley, Delph (c), Sanchez, Grealish, Agbonlahor, Benteke
QPR: Green, Isla, Onuoha, Caulker, Hill, Phillips, Sandro, Barton (c), Kranjcar, Austin, Zamora
Refa: Craig Pawson
LIGI KUU ENGLAND
MSIMAMO-Timu za mkiani:
**Timu 3 za mwisho hushuka Daraja
(Mechi bado 7)
17. Aston Villa Pointi 28
18. Burnley 26
19. QPR 25
20. Leicestet 22