Social Icons

Pages

Wednesday, 22 April 2015

usajili barani ulaya

TRANSFER ZONE
Manchester City wanatakiwa kuongea zaidi wakala wa yaya toure  kama wanaitaji yaya toure kubaki ndani ya dimba la man city

TRANSFER ZONE
Wolfsburg: summermoja ya chombo cha habari nchini ujerumani kimedai kuwa Manchester city hawataweza kumchukua de bruyne katik dirisha la usajil

TRANSFER ZONE
'Hummels, Clyne, Pogba...van gal amesema kuwa ndio watu wa kwanza kuwaitaji ndanin ya clabu ya Manchester united katika dirisha lausajili

TRANSFER ZONE
Skrtel anasubiria kandarasi mpya ndani  ya clabu ya liverpool

TRANSFER ZONE
Sinclairamepata ujasiri wakuendelea kuishi ndani ya villa park

TRANSFER ZONE
Dybala: Iamesema kuwa afikiri kwenda juventus

TRANSFER ZONE
Dybala, Cavani and Juventus' hawa ndio mbadala wa maisha katika klabu ya juventus kama teves ataondoka klabuni hapo

TRANSFER ZONE
De Gea ndilo changu lilopatikana katika usahili katika klabu ya manchester city ,amesema  Phil Neville

 
FULU VIWANJA