Zlatan
Ibrahimovic
ameandika majina
hamsini mwilini
mwake kupitia
michoro ya tatuu.
Hayo ni majina ya
watu wenye
matatizo ya njaa
au chakula.
Shirika la
Chakula la Umoja
wa Mataifa (WFP)
linasaidia watu
milioni 805 na
Zlatan ameamua
kujichora hao 50
mwilini mwake.
Mshambuliaji huyo
wa PGS ya
Ufaransa, raia wa
Ufaransa Sweden
amekuwa akiiunga
mkono WFP
kutokana na kazi
hiyo ya
kuwasaidia wenye
matatizo ya
chakula cha
kutosha.