Social Icons

Pages

Saturday, 28 February 2015

BECKHAM NA HARRY KANE KUMBE WANATOKA SHULE MOJA

David Beckham katika picha akiwa
na wanafunzi wa wa shule ya soka
ya Chingfold Foundation ambayo
imemtoa David Beckham alipokua
bado kind.

Beckham ambaye alisifika mno kwa
kupiga faulo na kutamba vilivyo na
klabu za Manchester United,Real
Madrid,LA Galaxy na PSG amepitia
katika shule hii ya soka na mara
nyingi amekua akitembelea shuleni
hapo kuwapa changamoto vijana.

Mwaka 2005 alipotembelea
Chingfold alibahatika kukutana na
Harry Kane ambaye kwa kipindi
hicho alikua bado kijana mdogo.

Hivi
sasa Kane anaongoza kuzifumania
nyavu katika klabu yake ya
Tottenham Hotspurs
Shule hiyo pia imemtoa Dwight
Gayle wa Cristal Palace.

Katika maktaba ya shule hiyo zipo
fulana na viatu vya David Beckham
wakati yuko Real Madrid pamoja na
fulani ya Harry Kane akiwa na timu
ya taifa ya England.

 
FULU VIWANJA