LIGI KUU VODACOM itandelea
Leo kwa Mechi kadhaa na
kesho Jumapili Yanga kucheza
na Ndanda FC Uwanja wa Taifa
Jijini Dar es Salaam.
Hii Leo Simba wako FC Uwanja
wa Taifa , Dar es Salaam
kucheza na JKT Ruvu wakati
Mkwakwani Jijini Tanga,
Coastal Union watacheza na
Mtibwa Sugar.
Mechi nyingine 3 ni zile za
Ruvu Shooting v Stand United ,
Tanzania Prisons v Kagera
Sugar na Polisi Morogoro v
Mbeya City.
RATIBA
Jumamosi Januari 31
Simba v JKT Ruvu
Coastal Union v Mtibwa Sugar
Ruvu Shooting v Stand United
Tanzania Prisons v Kagera
Sugar
Polisi Morogoro v Mbeya City
Jumapili Februari 1
Yanga v Ndanda FC