Social Icons

Pages

Monday, 12 January 2015

USAJILI NCHINI ENGLAND MPAKA SASA..

DIRISHA la Uhamisho
lilifunguliwa Januari 3 na
litakuwa wazi hadi Februari 2
Saa 8 Usiku, Bongo Taimu.
PATA WACHEZAJI WALIOHAMA
KLABU KWA KLABU :
**Listi hii ni ya Uhamisho
uliokamilika tu!
Arsenal
WAPYA
- Hamna
WALIOHAMA
Lukas Podolski (Inter Milan)
Mkopo
Matt Macey (Accrington
Stanley) Mkopo
Aston Villa
WAPYA
- Hamna
WALIOHAMA
Darren Bent (Derby County)
Mkopo
Jordan Graham
(Wolverhampton Wanderers )
Ada Haikutajwa
Burnley
WAPYA
Michael Keane ( Manchester
United ) Ada Haikutajwa
WALIOHAMA
- Hamna
Chelsea
WAPYA
- Hamna
WALIOHAMA
Fernando Torres ( AC Milan)
Ada Haikutajwa
Mark Schwarzer ( Leicester
City) Bure
Lewis Baker (Sheffield
Wednesday) Mkopo
Todd Kane (Nottingham Forest)
Mkopo
John Swift (Swindon ) Mkopo
Alex Kiwomya (Barnsley )
Mkopo
Tomas Kalas ( Middlesbrough )
Mkopo
Crystal Palace
WAPYA
- Hamna
WALIOHAMA
Andrew Johnson Ameachwa
Huru
Everton
WAPYA
WALIOHAMA
Hallam Hope ( Bury) Ada
Haikutajwa
Mason Springthorpe
(Fleetwood Town ) Mkopo
Hull City
WAPYA
- Hamna
WALIOHAMA
Leicester City
WAPYA
Mark Schwarzer ( Chelsea)
Bure
WALIOHAMA
Jack Barmby ( Rotherham
United ) Mkopo
Tom Hopper (Scunthorpe
United ) Mkopo
Callum Elder ( Mansfield Town )
Mkopo
Liverpool
WAPYA
- Hamna
WALIOHAMA
Kevin Stewart (Cheltenham)
Mkopo
Lloyd Jones (Cheltenham )
Mkopo
Jack Dunn (Cheltenham )
Mkopo
Manchester City
WAPYA
- Hamna
WALIOHAMA
Sinan Bytyqi (SC Cambuur )
Mkopo
Manchester United
WAPYA
Victor Valdes (Mchezaji Huru )
Bure
WALIOHAMA
Ben Pearson (Barnsley ) Mkopo
Michael Keane ( Burnley) Ada
Haikutajwa
Newcastle United
WAPYA
- Hamna
WALIOHAMA
Hatem Ben Arfa (Nice ) Bure
Queens Park Rangers
WAPYA
Mauro Zarate (West Ham
United ) Mkopo
Ryan Manning (Galway United)
Bure
WALIOHAMA
- Hamna
Southampton
WAPYA
Eljero Elia (Werder Bremen)
Mkopo
WALIOHAMA
Artur Boruc ( Bournemouth)
Mkopo
Stoke City
WAPYA
Philipp Wollscheid ( Bayer
Leverkusen) Mkopo
WALIOHAMA
Ryan Shotton ( Derby County )
Ada Haikutajwa
George Waring ( Barnsley )
Mkopo
Sunderland
WAPYA
- Hamna
WALIOHAMA
Scott Harrison ( Hartlepool)
Mkopo
Swansea City
WAPYA
Nelson Oliveira (Benfica)
Mkopo
Matt Grimes (Exeter City) Ada
Haikutajwa
WALIOHAMA
Rory Donnelly (Tranmere
Rovers ) Mkopo
Tottenham Hotspur
WAPYA
- Hamna
WALIOHAMA
- Hamna
West Bromwich Albion
WAPYA
- Hamna
WALIOHAMA
- Hamna
West Ham United
WAPYA
Doneil Henry ( Apollon
Limassol ) Ada Haikutajwa
WALIOHAMA
Mauro Zarate (Queens Park
Rangers) Mkopo

 
FULU VIWANJA