Social Icons

Pages

Friday, 3 October 2014

TAZAMA PICHA ZA BURUDANI KATIKA SEMINA YA UJASIRIAMALI ILIFANYIKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA(AJTC)

BURUDANI KABAMBE NDAN YA ARUSHA JOURNALISM COLLEGE
msanii                 akiburudiha katika tamasha la ujasiriamal kwenye ukumbi wa AJTC
msanii anayejulikana kama Chagga boy akitumbuiza katika semina
msanii wa nyimbo za injili Alfons akitumbuiza katika semina


msanii wa nyimbo za injili Lyida Kishia akitumbuiza katika semina

 Baadhi ya wanafunzzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha wakitoa burdani siku ya smina ya ujasiriamali

Walimu wakifuatilia semina ya ujasriamali ukumbi wa AJTC



Baadhi ya wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari Arusha wakifuatilia mafunzoya ujasiriamali
waongoza semina (MC)Kutoka kushoto ni Nurdin Paul akiwa Daniel Mbonea


Mmoja ya waendeshaji wasemenina akitoa mafunzo huku wanafunzi wakifuatilia
 
FULU VIWANJA