Social Icons

Pages

Friday, 3 October 2014

SASA MESSI AKUTWA NA KESI YA KUKWEPA KODI

messi
Nyota wa Barcelona Lionel Messi anakabiliwa na kesi ya kukwepa kodi,majaji nchini Hispania wamethibitisha tuhuma hizo.

Ikumbukwe Messi alikuwa akikabiliwa na tuhuma za ukwepaji kulipa kodi kwa muda sasa.

 
FULU VIWANJA