Social Icons

Pages

Friday, 3 October 2014

WENGER AELEZA JINSI ALIVYOMKOSA MESSI SABABU YA UHAMIAJ

MESSI (ALIYEVAA KINYAGO) AKIWA KWENYE KIKOSI CHA WATOTO CHA BARCELONA PAMOJA NA GERRARD PIQUE NA CESC FABREGAS (WALIOZUNGUSHIWA DUARA).

Kocha Arsene Wenger amesema alifanya kila juhudi kumsajili mshambuliaji Lionel Messi akiwa na umri wa miaka 16.

Anasema makubaliano na Barcelona yalikuwa safi kabisa, lakini tatizo likawa ni uhamiaji.
Uhamiaji ya England iliweka ugumu, hiyo ilikuwa mwaka 2003.

Hali hiyo ilitokana na Messi kutokuwa na uraia wan chi yoyote ya Ulaya. 

Hali hiyo ikasumbua kibali cha kufanyia kazi nchini England licha ya kwamba alikuwa tayari kwenda kufanya kazi London.

Mwaka 2006, Messi ndiye akawa raia wa Hispania, huenda ingekuwa lahisi kwake kujiunga na Arseb,nal.

Wakati huo, Messi alikuwa kwenye kikosi cha vijana pamoja na Cesc Fabregas na Gerard Pique.
 
FULU VIWANJA