Manchester City imepata ushindi wa mabao 3-1 katika mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya Liverpool.
Ikiwa nyumbani, City
imefanikiwa kushinda kwa mabao hayo yaliyofungwa na Jovetic (mawili) na
Sergio Aguero aliyehitimisha la tatu wakati Lambert alifunga moja kwa
LIverpool.KWA HABARI ZAIDI INGIA NDANI...................
Man
City: Hart, Zabaleta, Kompany,
Demichelis, Clichy, Toure, Fernando, Silva, Nasri, Jovetic, Dzeko.
Subs:
Sagna, Milner, Kolarov, Caballero, Jesus Navas, Aguero, Fernandinho.
Liverpool: Mignolet, Johnson, Skrtel, Lovren, Moreno, Henderson, Gerrard,
Allen, Coutinho, Sturridge, Sterling.
Subs: Brad Jones, Toure, Lambert,
Sakho, Manquillo, Can, Markovic.