Social Icons

Pages

Tuesday, 26 August 2014

EVERTON SASA WAGEUKIA ETO.O........


Samuel Eto’o anatarajia kutua kesho na kufanya vipimo kabla ya kumalizia usajili wake na Everton.KWA HABARI ZAIDI INGIA NDANI....

Imeelezwa mazungumzo na kila kitu kimeshakamilika ili Eto’o atue Everton.
Lakini taarifa nyingine zimeeleza, Everton imemtaka Eto’o kupunguza kiwango cha mshara.
Mshahara wake akiwa Chelsea msimu uliopita ulikuwa ni pauni 130,000 kwa wiki.
 
FULU VIWANJA