Social Icons

Pages

Saturday, 15 February 2014

VPL: MBEYA CITY, SIMBA DROO, AZAM, YANGA WABAKI JUU!!



RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Februari 15
Rhino Rangers 1 Mgambo JKT 1
Ashanti United 0 Kagera Sugar 0
Mtibwa Sugar 0 Tanzania Prisons 1
JKT Oljoro 0 JKT Ruvu 0
Mbeya City 1 Simba 1
Ruvu Shooting 1 Coastal Union 0

UWANJA wa Sokoine huko Jijini Mbeya, Leo ulikuwa patashika wakati Mbeya City na Simba zilipokutana naVPL_2013-2014-FPkutoka Sare ya Bao 1-1 ambayo imeibakisha kila Timu nafasi yake ile ile kwenye Msimamo wa VPL, Ligi Kuu Vodacom.
Mbeya City walitangulia kupata Bao katika Dakika ya 14 kwa Penati ya Deogratius Julius na Amisi Tambwe kuisawazishia Simba katika Dakika ya 50.
Simba na Mbeya City sasa zimecheza Mechi mbili zaidi ya Vinara Azam FC, wenye Pointi 36, na Timu ya Pili Yanga, wenye Pointi 35, lakini wamebaki nyuma yao kwa Mbeya City kubaki Nafasi ya Tatu wakiwa Pointi sawa na Yanga lakini wana ubora wa Magoli hafifu huku Simba ikishika Nafasi ya 4 wakiwa Pointi 3 nyuma ya Mbeya City.
­­MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
GD
PTS
1
Azam FC
16
10
6
0
19
36
2
Yanga SC
16
10
5
1
22
35
3
Mbeya City
18
9
8
1
10
35
4
Simba SC
18
8
8
2
17
32
5
Ruvu Shooting
17
6
7
4
3
25
6
Kagera Sugar
18
5
8
5
0
23
7
Coastal Union
18
4
10
4
3
22
8
Mtibwa Sugar
18
5
7
6
-1
22
9
JKT Ruvu
17
6
1
10
-8
19
10
Ashanti United
17
3
5
9
-14
14
11
JKT Oljoro
18
2
8
8
-14
14
11
Mgambo
18
3
5
10
-18
14
14
Prisons FC
15
2
7
6
-9
13
12
Rhino Rangers
18
3
6
9
-10
13
 
FULU VIWANJA