Nyongeza ya miaka miwili ya Alonzo ndani ya klabu hiyo kunamaliza tetesi kuwa kiungo huyo alikuwa na mpango wa kuondoka Santiago Bernabeu mwishoni mwa msimu.
Pia Alonso amesisitiza kuwa kulikuwa hakuna shaka kuwa angeongeza muda zaidi ndani ya klabu hiyo.
"Real Madrid ni timu bora ya kuendela kuwepo, “I feel at home here".