Sentahafu wa Liverpool Daniel Agger amethibitisha kuwa atakuwa nje ya Uwanja kwa Mwezi mmoja kutokana na maumivu ya Mguu
.
Agger, ambae ni Mchezaji wa Kimataifa wa
Denmark, aliumia kwenye Dakika za mwisho za Mechi ya FA CUP
walipoifunga Oldham Bao 2-0
.
.
Kuumia kwa Agger ni pigo kwa Meneja
Brendan Rodgers ambae huenda pia akamkosa Beki Mamadou Sakho anaejiuguza
tatizo la Musuli za Pajani.