Social Icons

Pages

Monday, 16 December 2013

ROMA BADO HAIFUNGIKI, SARE 2-2 NA AC MILAN


SERIE_A_LOGO_2013AS Roma bado ni Timu pekee huko Serie A Nchini Italy ambayo haijafungwa hata Mechi moja na Jana ilitoka Sare ya Bao 2-2 na AC Milan Uwanjani San Siro na Droo hii imewafanya wabaki Nafasi ya Pili wakiwa Pointi 5 nyuma ya Vinara Juventus.
Destro ndie aliewapa AS Roma Bao katika Dakika ya 13 na Zapata kuisawashia AC Milan kwenye Dakika ya 30 lakini Penati ya Kevin Strootman ya Dakika ya 52 iliwapa uongozi AS Roma.
Kiungo wa Ghana, Sully Muntari, ndie aliekuwa Shujaa wa San Siro baada ya kuisawazishia AC Milan kwenye Dakika ya 76.

SERIE A: MSIMAMO-Timu za Juu
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Juventus FC
16
14
1
1
35
10
25
43
2
AS Roma
16
11
5
0
31
7
24
38
3
SSC Napoli
16
11
2
3
35
19
16
35
4
ACF Fiorentina
16
9
3
4
32
20
12
30
5
Inter Milan
16
7
7
2
36
21
15
28
6
Hellas Verona
16
8
2
6
27
25
2
26

Kwenye Mechi hii, Mario Balotelli aling’ara sana na kwenye Dakika za majeruhi nusura aipatia AC Milan Bao la ushindi lakini shuti lake lilikwenda kidogo nje.
 
FULU VIWANJA