LISTI YA FIFA YA UBORA DUNIANI iliyotolewa leo bado ina Mabingwa wa Dunia, Spain, kama ndio Nambari Wani na wapo hapo kwa Mwaka wa Sita mfululizo.
Tanzania imepanda Nafasi 4 na sasa ipo
Nafasi ya 120 huku Ivory Coast bado ikiendelea kukamata Nafasi ya 17
ikiwa ndio Timu ya Juu kabisa toka Barani Afrika.
Listi nyingine ya Ubora itatolewa Tarehe 16 Januari 2014.
20 BORA:
1 Spain
2 Germany
3 Argentina
4 Colombia
5 Portugal
6 Uruguay
7 Italy
8 Switzerland
9 Netherlands
10 Brazil
11 Belgium
12 Greece
13 England
14 USA
15 Chile
16 Croatia
17 Côte d'Ivoire
18 Ukraine
19 Bosnia and Herzegovina
20 France, wakati tanzania ipo.
119 Sudan
120 Tanzania
121 New Caledonia
121 Lebanon.www.fulu viwanja blogspot.com