![]() |
| Wote kwa pamoja wakipozi kwa ajili ya picha kabla ya kutokea kwenye bata la Christmas bash |
Ashley
Cole wa Chelsea aliungana na wachezaji wa timu pinzani ya Arsenal
wakati Gunners wakisheherekea pati yao ya Christmas usiku wa jana licha
ya kwamba Chelsea wanaandaa pati yao maarufu kama 'festive bash'.
Inaaminika
kuwa mlinzi huyo wa zamani wa Arsenal aliwafuaata washikaji zake akina
Ryan Bertrand na Andre Schurrle huko jijini London 'Nightspot Libertine'
ikiwa ni masaa 24 baada ya mchezo wao wa Capital One dhidi ya
Sunderland.
Wachezaji wa Chelsea wao waliaamua kuahirisha pati yao ya Christmas ambayo pia ilitakiwa kufanyika usiku wa jana.




