Social Icons

Pages

Friday, 1 November 2013

YANGA YAENDELEZA KUSHINDA YAWALAZA HOI JKT RUVU

 
YANGA YAENDELEZA USHINDI.YAWAFUNGA JKT RUVU 4-0
Mabingwa Yanga wameendelea kuongeza kasi ya kusaka pointi katika Ligi Kuu Bara baada ya kuibutua Ruvu Shooting kwa mabao 4-0.


Mabao ya Yanga yamefungwa na Mrisho Ngassa aliyepiga mawili, Oscar Joshua na Jerry Tegete aliyeingia kipindi cha pili.

Muda mwingi Yanga walitawala mchezo huo lakini walipoteza nafasi nyingi za kufunga mabao ambazo zingeweza kuwapa mabao mengi zaidi.


Muda mwingi JKT walionekana kupoteana na kutoa nafasi kwa Yanga kucheza wanavyotaka lakini tatizo lilikuwa ni kuzitumia nafasi hizo.

 
FULU VIWANJA