TETESI ZA MITANDAO BARANI ULAYA ZA
· WACHEZAJI
NA MAKOCHA.mtandao wa humburger morngenpost .unasema mchezaji wa zamani wa timu
ya ujerumani matthaus yuko njiani kupata kibarua cha kuinoa klabu ya hamburg.
Mtandao mwingine wa woslfburger
allgemeine vinara wa ligi ya ujerumani Bayern munich wanamtaka kinda la
Wolfsburg Julian brandt.kinda huyu mwenye umri wa miaka 17 tayari anacheza
katika kikosi cha umri wa miaka 20 cha Wolfsburg lakini baba mzazi wa kinda
huyu na ambaye ndiye wakala wake amesema wameshakubaliana kwamba brandt
ataondoka wolfsburg
Nao mtandao wa ,le 10 sport.uliripoti
kwamba baada ya kushindwa kumchukua katika dirisha la kiangazi juan mata
klabu ya psg inatazamia kwenye dirisha la usjili januari na rais wa
matajiri hawa.nasser al-khelaif amepanga kufanya mazungumzo na klabu ya chelsea.Nayo klabu ya monaco imetenga kiasi cha euro 40 m. kwa ajili ya winga mwingereza anayekipiga katika klabu ya arsenali