Social Icons

Pages

Tuesday, 26 November 2013

MOURINHO ATOA MPYA


Nani anasema kinyozi hajinyoi, Kocha Jose Mourinho ameonyesha msemo huo wa Kiswahili umepitwa na wakati.

Ameamua kujinyoa mwenyewe baada ya kuazima mashine ya kunyolea ya mshambuliaji Fernando Torres.

Baada ya kuanzima mashine hiyo, Mourinho asiyeisha vituko aliingia ofisini kwake na kujinyoa nywele zake.

Alipotoka alikuwa amebadilika kabisa kwa kuwa alinyoa katika staili ambayo haipishani sana na Torres.
 
FULU VIWANJA