Social Icons

Pages

Sunday, 3 November 2013

MANUEL PELLEGRIN MHART ANATAKIWA APUMZIKE



Kocha wa klabu ya soka ya man.city Manuel pellegrin amesema kipa namba moja wa England na wa klabu hiyo joe hart anaitajika apumzikea katika baadhi ya mechi.
Hii imetokea baada ya matokeo ya mechi za nyuma na kumpelekea kocha huyu  mwenye asili ya chile kumpanga kipa nam,ba mbili wa klabu hiyo Costel pantilimon katika mechi ya jana ambayo walishinda goli 7-0 dhidi ya Norwich city.
Vilevile kocha huyo alisema hart anatakiwa kumpumzika kutokana ameitumikia klabu hiyo kwa miaka miwili katika lango kwahiyo wakati mwingine kipa anatakiwa apumzike
“my duty is to see every week who is the best player to play”
“joe need a rest it will be usefull for him he s played every match for two years ,every player can have a bad moment  alisema mchile Manuel pellegrin.
 
FULU VIWANJA