
Klabu
ya soka ya olympique lyon ya inchi ufaransa jana alimaliza gundu la kufungwa
kwa kushinda goli 2 kwa 0 dhidi ya EA Guimgamp.
Mechi
hiyo iliyopigwa nyumbani mwa lyon katika uwanja uwanja wa stade de gertand na
kuhudhuria na watazamaji 37334 ilishuhudia lyon ikipata ushindi wa baada ya
mechi tano kutopa ushindi ,magoli ya bafetimbi gomis dakika 13 na alexandre
lecazette dakika 12 yalitosha kuwapa ushindi