Ryan
Giggs amekipiga kwa dakika 90 katika mechi ya Champions League huku Manchester
United ikitoa adhabu kali ya mabao 5-0 kwa wenyeji wake Bayer Leverkusen.
Man
United imeshinda mabao hayo ikiwa ni siku moja tu baada ya kunusurika kwenye
ajali ya ndege wakati ikitua kwenye Uwanja wa Cologne, Ujerumani.
Wayne
Rooney pia ameibuka mchezaji bora wa mechi hiyo ambayo mashabiki wa Bayer
walishuhudia timu yao ikipokea kipigo kikali ikiwa nyimbani.
Katika
mechi hiyo mabao ya man United yalifungwa na Jones 7, Giggs 6; Valencia 7,
(Young 80), Kagawa 7, Nani 6; Rooney 8 (Anderson 80).
Katika
mechi hiyo mabao ya man United yalifungwa na Jones 7, Giggs 6; Valencia 7,
(Young 80), Kagawa 7, Nani 6; Rooney 8 (Anderson 80).
Kingine
ambacho kilijitokeza ni kocha wa zamani wa Man United, Alex Ferguson alikuwa
uwanjani hapo kushuhudia mechi hiyo.