Social Icons

Pages

Thursday, 28 November 2013

HAYA BAADA YA KICHAPO SPURS YATAFUTA KOCHA WA ZAMANI WA BARCA







Tottenham Hotspur imenyoosha darubini zake kuanza kumvizia kocha Luis Enrique aliyewahi kukipiga Barcelona.
 
Dalili kwamba kocha Andre Villas-Boas amekalia kuti kavu baada ya timu yake kukutana na kipigo kikali cha Man City.
 
LUIS WAKATI AKICHEZA
Mjadala ni kwamba timu hiyo ilifanya usajili wa pauni milioni107 lakini imekuwa haionyeshi mafanikio yoyote.

Enrique amerudi Hispania kuisaidia Celta Vigo na aliwahi kufanya kazi na mkurugenzi wa soka wa Spurs, Franco Baldini wakati wakiwa Roma.
 
LAUDRAP
Pia aliwahi kuifundisha kwa mafanikio makubwa Barcelona B kabla ya kuiacha timu hiyo na kwenda kufanya kazi Roma.
kocha mwingine anayewaniwa ni Michael Laudrap anayeinoa Swansea na imeelezwa alikuwa njiani kuiacha timu hiyo.
 
FULU VIWANJA