Social Icons

Pages

Thursday, 31 March 2016

KINDA WA MAN UNITED ANAVYOKULA BATA NA WANYAMA WA 'TANZANIA' NDANI YA DUBAI



Kinda wa Man United, Jesse Lingard yuko mapumzikoni Dubai ambako anakula “mibata” na ameonekana akicheza wanyama wa “Tanzania”.

Hakika Dubai hakuna wanyama kama Tiger ambaye anapatikana barani Asia au taiga na nyani ambao wanapatikana kwa wingi Tanzania.

Kijana huyo mwneye miaka 23, ameonekana kuwafurahia wanyama hao ambao wanaonekana ni watulivu kwake.




 
FULU VIWANJA