Social Icons

Pages

Saturday, 8 August 2015

SASA NDIYO WAKATI WAKE, RONALDO DE LIMA AJIACHIA NA MTOTO UFUKWENI


 Mshambuliaji nyota wa zamani wa Brazil, Ronaldo de Lima ameonekana akichiachia na mpenzi wake katika ufukwe wa Formentera.


Ronaldo ameonekana akila raha na mpenzi wake huyo tena kwa uwazi kabisa.

Licha ya kitambi chake, Ronaldo alikuwa akijiachia atakavyo na Celina Locks.

Baadhi ya watu walijitokeza kuomba kupiga naye picha, jambo ambalo halikuwa tabu kwake naye akaendelea na yake kuonyesha kuwa sasa ni wakati wake wa kujiachia.








 
FULU VIWANJA