Social Icons

Pages

Saturday, 8 August 2015

AGUERO ACHUKUA UZI NAMBA 10 MAN CITY, AACHANA NA NAMBA 16


Mshambuliaji nyota wa Man City, Sergio Aguero ameamua kuchukua jezi namba 10.

Kun amechukua jezi hiyo kwa ajili ya msimu wa 2015-16 Premier League. Awali alikuwa akitumia jezi namba 16.

Lakini ameamua kuchukua namba 10 baada ya kuachwa wazi na Edin Dzeko aliyejiunga na AS Roma ya Italia.


Kun raia wa Argentina ameahidi makubwa zaidi msimu ujao akiwa ndani ya uzi huo.
 
FULU VIWANJA