Serena Williams amesherekea ushindi wake wa 700 katika mchezo wa tenisi.
Mkali huyo wa tenisi duniani upande wa wanawake, amesherekea ushindi huo wa 700 kwa kula keki na baadhi ya wadau.
Serena alimshinda Sabine Lisicki wa Ujerumani kwa seti 7-6, 1-6, 6-3 na kutinga fainali ya Miami Open.