Social Icons

Pages

Thursday, 21 August 2014

STRAIKA LA NAPOLI LATUA QPR, MWAKA HUU ENGLAND KAZI IPO



KLABU ya QPR imeimarisha safu yake ya ushambuliaji kwa kumsajili mshambuliaji wa Napoli, Eduardo Vargas kwa mkopo wa muda mrefu.
Habari hizi ni njema kwa kocha Harry Redknapp ambaye alikuwa ana washambuliaji watatu tu kikosini kabla ya uhamisho huu
 
 
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 mzunguko wa pili wa msimu uliopita alicheza kwa mkopo La Liga katika klabu ya Valencia, ambako alifunga mabao matano katika mechi 25.

Dili limetiki: QPR imemsajili Eduardo Vargas kwa mkopo wa muda mrefu kutoka Napoli
 
FULU VIWANJA